Tuesday, January 14, 2014
TUNAOMBA RADHI
Wapendwa wetu tunaomba radhi kutoka na mambo ya kiufindi yaliyotukabili katika kipindi hiki cha miezi nane sasa kwa kutokuwepo hewani kutoa mambo yanayo husu Computer na Teknolojia kwa ujumla inayo husu maswala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ( TEHAMA). Sasa tunashukuru kwa Maombi yenu mambo yamekaa sawa kwa kipindi chote cha mwaka huu na kuendelea. Na tutajitadi kutoa habari mpya na Makala mbalimbali zinazo husu teknolojia kwa ujumla. Na tutaanza kupokea matangazo yoyote kwa bei nafuu kabisa. Lakini pia kuna mafunzo yataanza kutolewa kuhusiana na TEHAMA na mambo ya MEDIA kutegemeana na ratiba maalumu itayo tangazwa hivi karibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment