Friday, August 1, 2014

HARUSI YA EV. JOHN NA SEHEWA

LUSAJO MEDIA PRODUCTION inakuletea Harusi ya Mtumishi wa Mungu Ev. John na Sehewa Chinyuli iliyofanyika katika Kanisa la Anglican Ukonga Mazizini mnamo Tarehe 26 Julai 2014. Na baadae katika ukumbi wa Moshi, Ukonga.
Mr & Mrs John Chinyuli wakiwa katika uso wa furaha baada ya kufunga harusi


 Mchungaji wa ushirikani hapo akifungisha ndoa ya watumishi hawa

Wasimamizi wa Maharusi wakiwa katika hali ya Furaha kubwa baada ya kuwasindikiza ndugu zao

Kulikamilika kupita maelezo

Sherehe iliongozwa kwa umahiri mkubwa sana wenye mitikisiko ya furaha, chini ya MC JEMIMA

Hawa ndugu walikuwa na furaha isiyokuwa na kifani kwa maana hawakuamini kama siku hii yao maalum imefika na kufanikiwa kwa sehemu kubwa sana.




Ndugu John akijaribu kumwuliza mpambe mwenzie kanuni nzima ya keki

 Yaaaani hapo John anasema ubachela bai bai

Akishuka kwa unyenyekevu mkubwa.

 CEO wa Lusajo Media Production (katikati) akiwa pamoja na maharusi kwa furaha kubwa wakati sherehe zikiendelea.

















Ahsante kwa kuchagua LMP kwa kazi zenye ubora zaidi.
LUSAJO MEDIA PRODUCTION tunawatakia Heri ya maisha mema na Mungu wetu wa Mbinguni na awabariki sana.

Monday, January 20, 2014

Sunday, January 19, 2014

COMPUTER IMETOKEA WAPI????

Je wajua Computer imetokea wapi?
Je, ni mwaka gani imeanza kutengenezwa?
Je, wamjua aliyetoa wazo la kutengeneza computer?
Je, ulikwisha wahi kuziona picha za computer za kwanza?

yote hayo utafahamu na kuyajua kiundani zaidi BONYEZA HAPA nawe utafahamu mengi sana
 

KARIBU KEY & REY VIDEO PRODUCTION

UONGOZI WA LUSAJO MEDIA PRODUCTION UNAPENDA KUTOA PONGEZI KWA KAMPUNI YA KEN & REY VIDEO PRODUCTION ILIYOKO JIJINI DAR ES SALAAM, KWA AJILI YA KUINGIA KATIKA CHAMA CHA VIDEO PRODUCTION.

TUNASEMA HONGERENI SANA NA KARIBUNI KATIKA MCHAKATO WA VIDEO PRODUCTION

SASA TUNAANZAAA!!!!!

Ndugu msomaji wetu wa Blog hii nakukaribisha na kukualika katika makala na masomo za kiteknolojia zitakazo anza kesho jumatatu. KARIBU SANA

Wednesday, January 15, 2014

RATIBA YETU KWA WIKI

Ndugu Msomaji wa Blog yetu tunapenda kukupa ratiba rasmi ya kila siku katika wiki. Ratiba hii ni kama ifuatavyo:-

JUMATATU                                                  MAKALA YA TEHAMA

JUMANNE                                                   VIDEO ZA MAFUNZO (TEHAMA)

JUMATATO                                                  MAKALA ZA MEDIA   

ALHAMISI                                                   VIDEO ZA MAFUNZO (MEDIA)

IJUMAA                                                       MTEKNOLOJIA WETU

JUMAMOSI                                                 IJUE TEKNOLOJIA 


Tunakukaribisha sana ujumuike nasi katika maswala yote. Ikiwa unaswali au maoni tupigie simu kupitia namba hizo juu.

Na pia tunatoa training mbali mbali zinazohusiana na Teknolojia ya Habari na mawasiliano kwa ujumla. Karibu sana.
                                                     SOFTWARE




NETWORKING
                                                   

Tuesday, January 14, 2014

TUNAOMBA RADHI

Wapendwa wetu tunaomba radhi kutoka na mambo ya kiufindi yaliyotukabili katika kipindi hiki cha miezi nane sasa kwa kutokuwepo hewani kutoa mambo yanayo husu Computer na Teknolojia kwa ujumla inayo husu maswala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ( TEHAMA). Sasa tunashukuru kwa Maombi yenu mambo yamekaa sawa kwa kipindi chote cha mwaka huu na kuendelea. Na tutajitadi kutoa habari mpya na Makala mbalimbali zinazo husu teknolojia kwa ujumla. Na tutaanza kupokea matangazo yoyote kwa bei nafuu kabisa. Lakini pia kuna mafunzo yataanza kutolewa kuhusiana na TEHAMA na mambo ya MEDIA kutegemeana na ratiba maalumu itayo tangazwa hivi karibuni