Friday, August 1, 2014

HARUSI YA EV. JOHN NA SEHEWA

LUSAJO MEDIA PRODUCTION inakuletea Harusi ya Mtumishi wa Mungu Ev. John na Sehewa Chinyuli iliyofanyika katika Kanisa la Anglican Ukonga Mazizini mnamo Tarehe 26 Julai 2014. Na baadae katika ukumbi wa Moshi, Ukonga.
Mr & Mrs John Chinyuli wakiwa katika uso wa furaha baada ya kufunga harusi


 Mchungaji wa ushirikani hapo akifungisha ndoa ya watumishi hawa

Wasimamizi wa Maharusi wakiwa katika hali ya Furaha kubwa baada ya kuwasindikiza ndugu zao

Kulikamilika kupita maelezo

Sherehe iliongozwa kwa umahiri mkubwa sana wenye mitikisiko ya furaha, chini ya MC JEMIMA

Hawa ndugu walikuwa na furaha isiyokuwa na kifani kwa maana hawakuamini kama siku hii yao maalum imefika na kufanikiwa kwa sehemu kubwa sana.




Ndugu John akijaribu kumwuliza mpambe mwenzie kanuni nzima ya keki

 Yaaaani hapo John anasema ubachela bai bai

Akishuka kwa unyenyekevu mkubwa.

 CEO wa Lusajo Media Production (katikati) akiwa pamoja na maharusi kwa furaha kubwa wakati sherehe zikiendelea.

















Ahsante kwa kuchagua LMP kwa kazi zenye ubora zaidi.
LUSAJO MEDIA PRODUCTION tunawatakia Heri ya maisha mema na Mungu wetu wa Mbinguni na awabariki sana.

No comments:

Post a Comment