Monday, June 29, 2015

JOINING INSTRUCTION YA MAWENI SEKONDARI, MBEYA

Maweni Sekondari ni shule ya Serikali kidato cha kwanza hadi cha site mkoani Mbeya. shule ilianzishwa 2006.
Shule ipo katika jimbo la Songwe, katika wilaya mpya inayotarajiwa ya Songwe kwa sasa ni Chunya. Ili kufika Maweni Sekondari panda mabasi yanayo patikana katika mji mdogo wa Mbalizi uliopo Magharibi na nje kidogo ya Jiji la Mbeya (njia ya Tunduma).
Kwa sasa shule ina wanafunzi 1200. wakiwemo 500 kidato cha tano na sita na 700 wa kidato cha kwanza hadi cha nne.

Kwa A level michepuo iliyopo ni CBG, HGE, HGK, HKL, HGL na EGM.
Karibu sana Maweni Sekondari.


Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0754 603 777
Mkuu wa Shule.

N.B Malipo yote yafanyike katika Account No 60706600135 (NMB) hii.


1 comment: