Monday, July 6, 2015

JOINING INSTRUCTION YA SHULE YA SEKONDARI MWAKALELI

Mkuu wa shule, Shule ya Sekondari Mwakaleli iliyoko wilaya ya Busokelo Mbeya anapenda kuwakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa katika shule hii.